Saladi Ya Viazi Na Mchanganyiko wa Mboga

Vipimo
Viazi (mbatata) 5 vitano
Ngegere, karoti ½ kijiko cha kikombe
Maharage mabichi na mahindi mabichi ½ kijiko cha kikombe
Mayonezi 5 Vijiko vya supu
Pilipili manga ½ kijiko cha chai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
- Menya viazi katakata vipande kisha changanya na vitu vyote vichemshe na chumvi kiasi
- Viache vipowe kisha mimina ndani ya bakuli kubwa.
- Changanya mayonezi na pilipili manga tayari kuliwa na mkate au nyama ya kuchoma.
- Unaweza kuhifadhi kwenye friji kwa matumizi ya siku ya pili.
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha
