Wenye Kuabudu Mashetani: Free Masons Na Devil Worshippers

 

  Wenye Kuabudu Mashetani: Free Masons Na Devil Worshippers

 

Alhidaaya.com

 

 

SWALI

 

Assalam aleikum. Ama baada ya mamkizi mema namshukuru muumba kwa kila neema aliotupa. Suala langu ilikuwa ni kuhusu DEVIL WORSHIP na FREE MASON, watu hawa wako na alama zao wanazozitumia je ni zipi?

 

Na pia nimesikia kuwa kuna watu mashuhuri wanahusika na makundi haya wakiwemo viongozi hata hawa wa bara Arabu je ni sahihi? Shukran kwa msaada wenu na Allaah atawabariki.

 

JIBU:

 

 

AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho.

 

 

Kwanza pata hapa chini alama zao ambazo wanazitumia katika mambo yao na pia kujuana.

 

 

Hakika ni kuwa Wamasoni ni chama cha siri kilichoanzishwa na Mayahudi. Malengo yao makubwa ni kuhakikisha kuwa maslahi ya Mayahudi yametiliwa maanani duniani. Katika chama hicho huwa wanawaandikisha sana watu walio na hadhi na wakubwa katika jamii ili kuhakikisha kuwa malengo yao katika kila nchi yametimia bila kujali Dini, itikadi, rangi na kabila. Bila shaka kulikuwepo na viongozi na bado wapo viongozi wengi walio watawala katika nchi za Waislamu na pia nchi nyingine za ulimwengu wa kwanza na zinazo endelea ambao ni wanachama wao.

Baadhi ya maaluma tuliyopata ingawa ni ya siku za nyuma kidogo kuhusu baadhi ya hao wamasoni maarufu ni hawa wafuatao:

Swami Vivekananda - Motilal Nehru - C. Rajagopalachari - Fakruddin Ali Ahmed - Omdat-ul-Omrah - P.C. Dutt - Eddy Arnold - Roy Acuff - Edwin E. "Buzz" Aldrin - Gene Autry - Daniel C. Beard - Francis J. Bellamy - Irving Berlin - Simon Bol¡var - Walter Boomer - Gutzon Borglum - Ernest Borgnine - Omar Bradley - James Buchanan - Arleigh Burke - Richard E. Byrd B. H. Carroll - Mark Clark - William Clark Dewitt Clinton - Ty Cobb - W. T. Connor - Jack Dempsey - James Doolittle - Arthur Conan Doyle - "Duke" Ellington - Henry Ford - Gerald Ford - Benjamin Franklin - Clark Gable - James Garfield - Arthur Godfrey - Wolfgang von Goethe - Barry Goldwater - Samuel Gompers - John Hancock - Warren Harding - Jesse Helms - Sam Houston - Burl Ives - Andrew Jackson - Andrew Johnson - John Paul Jones - Benito Ju rez - Rudyard Kipling - Marquis de Lafayette - J. B. Lawrence - John Lejeune - Charles Lindbergh - John Marshall - George Marshall - Thurgood Marshall - Jos‚ Mart¡ - Charles Mayo - Douglas MacArthur - Abner McCall - William McKinley - James Monroe - Wolfgang Mozart - Louis D. Newton - Norman Vincent Peale - J. C. Penney - John Pershing - James Polk - Paul Revere - Herbert Reynolds - Roy Rogers - Will Rogers - Franklin D. Roosevelt - Theodore Roosevelt - Thomas S. Roy - L. R. Scarborough - Jean Sibelius - "Red" Skelton - John Phillip Sousa - William Howard Taft - Danny Thomas - Lowell Thomas - Strom Thurmond - George W. Truett - Harry S. Truman - Joseph Warren - John Wanamaker - George Washington - John Wayne n.k.

 

Na Allaah Anajua zaidi

 

 

Share