Urithi Wa ‘Ami Yetu Unatumiliwa Na Nduguze, Watoto Hawapati Kitu, Je Sisi Tuwalipe Watoto Hao?
SWALI:
Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatuh ramadhan mubarak
Mimi swali langu ni kua ami yangu alifariki miaka 3 nyuma kawacha mali yake nyengine kwa ndugu yake wa kiume, na vyombo vyake kwa ndu yake wa kiume mwengine, pamoja na urithi wa wazee wake hajaupata walipofariki. Na kawaacha watoto 8 na wake wawili. Urithi huo mpaka leo tunawakumbusha hawa wazee waulipe na wawagawanyie watoto hao na wake zake bado kila siku zikienda hawana
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako zuri kuhusu urithi.
Hakika ni jambo ambalo halitarajiwi kuwa watoto na wake za marehemu watanyimwa urithi wao kwa sababu ya ‘Ami zao ambao wamekatalia nao kwa ujeuri tu. Ukweli ni kuwa
Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Anasema yafuatayo kuwaamuru jamaa waliobaki:
“Na wapeni mayatima
Inatakiwa hao ‘Ami wafahamu kuwa wenye kula
“Hakika wanaokula
Inatakiwa mwanzo mzungumze na hao ‘Ami kwani kuwaacha hivyo watakuja kuwadhulumu na wengine na hiyo itazidisha kuwafanya wao wadhulumu. Ikiwa imeshindikana inatakiwa muwapeleke kwa Qaadhi wa sehemu
Na Allaah Anajua zaidi
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha
