Maana ya Jina ‘Imraan

SWALI:

 

Ass alam ghaleik naomba kujua maana ya jina la imrani


 

JIBU: 

Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho. 

Shukrani kwa swali lako kuhusu maana ya jina ‘Imraan. Maana yake ni mwenye kuishi sana/ miaka mingi.  

Pia ni jina la baba yake Maryam mama yake 'Iysa ('Alayhis Salaam) na baba yake Manabii Muusa na Haaruun (‘Alayhimas Salaam).

 

Na Allaah Anajua zaidi

 

Share