111 - Al-Masad

 

  الْمَسَد

 

111-Al-Masad

 

 

111-Al-Masad: Utangulizi Wa Suwrah

 

Alhidaaya.com

 

 

 

بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ

 

تَبَّتْ يَدَا أَبِي لَهَبٍ وَتَبَّ ﴿١﴾

1. Iangamie mikono miwili ya Abu Lahab, na (hakika) ameangamia.[1]

 

 

 

 

مَا أَغْنَىٰ عَنْهُ مَالُهُ وَمَا كَسَبَ ﴿٢﴾

2. Haikumfaa mali yake na yale aliyoyachuma.

 

 

سَيَصْلَىٰ نَارًا ذَاتَ لَهَبٍ ﴿٣﴾

3. Ataingia na kuungua kwenye moto wenye mwako.

 

 

وَامْرَأَتُهُ حَمَّالَةَ الْحَطَبِ ﴿٤﴾

4. Na mke wake mbebaji kuni.

 

 

فِي جِيدِهَا حَبْلٌ مِّن مَّسَدٍ ﴿٥﴾

5. Katika shingo yake kuna kamba ya mtende iliyosokotwa madhubuti.

 

 

 

[1] Sababun-Nuzuwl (Sababu Ya Kuteremshwa) Aayah Au Suwrah:

 

Bonyeza kiungo kifuatacho:  

 

111-Asbaabun-Nuzuwl: Al-Masad: تَبَّتْ يَدَا أَبِي لَهَبٍ وَتَبَّ

 

Na pia:

 

026-Asbaabun-Nuzuwl:Ash-Shu'araa Aayah 214: وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ 

 

Rejea pia Utangulizi Wa Suwrah kupata faida nyenginezo.

 

 

 

Share