Skip to main content

Imaam Ibn Taymiyyah: Makhawaarij Wanawabughudhi Waislamu, Wanawastarehesha Makafiri

Makhawaarij Wanawabughudhi Waislamu, Wanawastarehesha Makafiri

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema kuhusu Makhawaarij:

"Waumini wanateseka kutokana nao (kutokana na shari za Makhawaarij), na Washirikina wanastarehe kutokana nao."

[Al-Istiqaamah: 346]