Imaam Ibn Rajab: Yaliyoanzishwa Bila Kuweko Katika Shariy’ah Ni Bid’ah

Yaliyoanzishwa Bila Kuweko Katika Shariy’ah Ni Bid’ah

 

Imaam Ibn Rajab  (Rahimahu Allaah)

 

www.alhidaaya.com

 

 

Ibn Rajab (Rahimahu Allaah) amesema:

 

“Maana ya bid'ah ni yale yaliyoanzishwa ambayo hayana asili katika Shariy’ah yenye kuwafikiana nayo, na ama yale ambayo yana asili katika Shariy’ah basi si bid'ah, japokuwa ni bid'ah kilugha (kumaanisha kuwa kwa matumizi ya lugha ya Kiarabu inafahamika hivyo lakini ki-Shariy’ah  inakuwa ni kinyume na hayo matumizi ya kilugha).”

 

 

[Jaamiul ‘Uluwm Wal-Hikam, uk. 233]

 

Share