Skip to main content

Imaam Ibn Taymiyyah: Dini Ya Kiislaam Imejengewa Kwa Misingi Miwili

Dini Ya Kiislaam Imejengewa Kwa Misingi Miwili

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah) amesema:  

“Dini ya Kiislaam imejengewa misingi miwili:  Kuthibitisha “Ash-hadu an-laa ilaaha illa-Allaah wa anna Muhammadan Rasuwlu-Allaah – hakuna Muabudiwa wa  haki isipokuwa Allaah na Muhammad ni Rasuli wa Allaah.”

[Majmu’w Al-Fataawaa (1/301)]