Skip to main content

Imaam Ibn Al-Qayyim: Kuamini Qadar Kunaondosha Masongo Ya Moyo Na Huzuni

Kuamini Qadar Kunaondosha Masongo Ya Moyo Na Huzuni

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah) amesema:

“Kuwa na Iymaan katika Qadar (Ya Allaah) na kuridhika nayo humwondoshea mja masongo ya moyo na huzuni.” 

[Madaarij As-Saalikiyn (2/264)]