057-Du'aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kinga Ya Uoga, Ubakhili, Kurudishwa Katika Umri Wa Udhalili, Fitna Za...

Du’aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)

 

Kuomba Kinga Ya Uoga, Ubakhili, Kurudishwa Katika Umri Wa Udhalili,

Fitna Za Dunia Na Adhabu Za Kaburi

 

 www.alhidaaya.com

 

 

اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنَ الْجُبْنِ وَأَعُوذُ بِكَ مِنَ الْبُخْلِ وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ أَنْ أُرَدَّ إِلَى أَرْذَلِ الْعُمُرِ وَأَعُوذُ بِكَ مِنْ فِتْنَةِ الدُّنْيَا وَعَذَابِ الْقَبْرِ

 

Allaahumma inniy a’uwdhu bika minal-jubni, wa a’uwdhu bika minal-bukhli, wa a’uwdhu bika min an uradda ilaa ardhalil ‘umuri, wa a’uwdhu bika min fitnatid-dunyaa wa adhaabil-qabri

 

Ee Allaah, hakika mimi najikinga Kwako uoga, na najikinga Kwako ubakhili, na najikinga Kwako kurudishwa katika umri wa kudhalilika [uzee], na najikinga Kwako fitnah za dunia na adhabu za kaburi. [Al-Bukhaariy]

 

 

Share