Skip to main content

Imaam Ibn Taymiyyah: Amali Njema Kabisa Ni Tawhiyd Na Ovu Kabisa Ni Shirki

Kauli Za Salaf: 'Aqiydah-Tawhiyd

‘Amali Njema Kabisa Ni Tawhiyd Na Ovu Kabisa Ni Shirki

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Imaam Ibn Taymiyyah amesema:

‘Amali njema kabisa ni Tawhiyd na ‘amali ovu kabisa ni shirki, Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) :

إِنَّ اللَّـهَ لَا يَغْفِرُ أَن يُشْرَكَ بِهِ وَيَغْفِرُ مَا دُونَ ذَٰلِكَ لِمَن يَشَاءُ ۚ

48. Hakika Allaah Haghufurii kushirikishwa; lakini Anaghufuria yasiyokuwa hayo kwa Amtakae.  [An-Nisaa:  48 , 116]

 [Majmuw’ Al-Fataawaa (11/252)]