Skip to main content

Al-Lajnah Ad-Daaimah: Anayesema Jibriyl Alikosea Kumteremkia Nabiy Muhammad Badala Ya ‘Aliy Ni Kafiri

Al-Lajnah Ad-Daaimah

Anayesema Jibriyl Alikosea Kumteremkia Nabiy Muhammad صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ 

Badala Ya ‘Aliy (رضي الله عنه) Ni Kafiri

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

SWALI:

Nini hukmu kuhusu ya Mashia khasa wale wanaosema kuwa ‘Aliy (ibn Abiy Twaalib Radhwiya Allaahu ‘anhu) ana daraja ya Unabiy na kwamba Jibriyl ('Alayhis-Salaam) alikosea kumteremshia Wahyi Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)”

JIBU:

 Mashia wako makundi mbali mbali.  Atakayesema miongoni mwao kuamini kwamba ‘Aliy (Radhwiya Allaahu 'anhu) ana daraja ya Unabiy na kwamba Jibriyl  ('Alayhis-Salaam) amekosea kumteremkia Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam), basi yeye ni kafiri.

Fataawa Al-Lajnah Ad-Daaimah lil-Buhuwth Al-'Ilmiyyah wal-Iftaa. [(2/376)]