Imaam Ibn Baaz: Hukmu Ya Kuchinja Kwa Kutumia Mkono Wa Kushoto
Kuchinja Kwa Kutumia Mkono Wa Kushoto
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah)
SWALI:
Kuhusu Udhw-hiya, mimi hutumia kwa vile kawaida siwezi kutumia mkono wa kulia, inafaa?
JIBU:
Ikiwa utachinja kufuata shariy’ah za kuchinja hakuna neno, AlhamduliLlaah.
[Mawqi’ Ar-Rasmiy li Imaam Ibn Baaz]
