Ukurasa Wa Kwanza /Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Hajj: Kugawa Nyama Ya Udhwhiyah Kama Zawadi Au Swadaqah Iwe Safi Si Ya Kupikwa
Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Hajj: Kugawa Nyama Ya Udhwhiyah Kama Zawadi Au Swadaqah Iwe Safi Si Ya Kupikwa
Kugawa Nyama Ya Udhwhiyah Kama Zawadi Au Swadaqah Iwe Safi Si Ya Kupikwa
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Alhidaaya.com
SWALI:
Je, nyama ya Udhw-hiyah inapogaiwa kama zawadi iwe ni freshi au ipikwe?
JIBU:
Kuigawa kama zawadi au swadaqah iwe freshi si ya kupikwa.
[Majmuw’ Fataawa (25/132)]