Skip to main content

Imaam Ibn Taymiyyah: Haifai Kuwaombea Maghfirah Makafiri

Imaam Ibn Taymiyyah

Haifai Kuwaombea Maghfirah Makafiri

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Shaykh Al-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:

“Kuwaombea makafiri maghfirah hairuhusiwi kutokana na dalili za Qur-aan na Sunnah na Ijmaa’a ya 'Ulamaa.”

[Majmuw’ Al-Fataawaa (12/489)]