Skip to main content

Imaam Ibn Taymiyyah: Zawadi Hazifai Kupokelewa Wala Kutoa Katika Sherehe Zisizokuwa Za Kiislamu

Imaam Ibn Taymiyyah

Zawadi Hazifai Kupokelewa Wala Kutoa Katika Sherehe Zisizokuwa Za Kiislamu

Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

“Yeyote atakayempa Muislamuu zawadi katika sherehe hizi, siku ambazo si siku za kawaida basi zawadi hiyo haikubaliki, hususan ikiwa zawadi  hiyo inapelekea katika kushabihiana nao, mfano mshumaa na kadhalika kama vile siku za kuzaliwa au mayai, maziwa, kondoo siku ya Alkhamiys  ambayo huwa ni mwisho wa kufunga swiyaam zao.  Vile vile, Musilamu hawapasi kutoa zawaida katika sherehe zao hizo hususan ikiwa itapelekea katika kufanana nao kama tulivyotaja.”    

[Iqtidhwaa As-Swiraatw Al-Mustaqiym(1/227)]