Imaam Ibn Nuhaas: Kusherehekea Yaliyo Bid’ah Ni Upotezaji Wa Nguvu Na Mali
Kusherehekea Yaliyo Bid’ah Ni Upotezaji Wa Nguvu Na Mali
Imaam Ibn Nuhaas (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn Nuhaas (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Yote hayo (yakiwemo kusherehekea Al-Israa wal Mi’raaj) ni bid’ah kubwa katika Dini, na ni mizushi ya shaytwaan na juu ya hivyo ni kupoteza nguvu na mali kwa israfu.” [Tanbiyh Al-ghaafiliyn (Uk 330)]