Skip to main content

Imaam Ibn ‘Uthaymin: Madhambi Yanazuia Kufahamu Haki

Madhambi Yanazuia Kufahamu Haki

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:

“Madhambi yanakuzuia kufahamu haki.”

[Sharh Al-Mumti’ (1/23)]