Skip to main content

Imaam Malik: Wanaotukana Maswahaba Hawana Fungu Katika Uislamu

Wanaotukana Maswahaba Hawana Fungu Katika Uislamu

Imaam Malik bin Anas (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com

Imaam Malik (Rahimahu-Allaah) amesema:

“Ambaye anatukana Maswahaba wa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) hana fungu (au amesema hana sehemu) katika Uislamu.”

[Al-Ibaanah Asw-Swughraa, uk. 123)]