Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Ramadhwaan: Kutumia Manukato Mazuri Siku Za Ramadhwaan
Kutumia Manukato Mazuri Siku Za Ramadhwaan
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
SWALI:
Nini hukumu ya mtu aliyefunga na kutumia mafuta mazuri siku za Ramadhaan?
JIBU:
Hakuna ubaya kutumia na kunusa mafuta mazuri siku za Ramadhwaan isipokuwa kufukiza udi usikaribie hadi ukavuta pumzi za moshi na ukaingia tumboni.
[Imaam Muhammad bin Swaalih al-`Uthaymiyn Fiqhul-‘Ibaadaat Uk (217) Maktabatul-Iymaan]
