43-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kuna Hadiyth Kuhusu Kutokwa Majimaji?
Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas
43-Kuna Hadiyth Kuhusu Kutokwa Majimaji?
Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
SWALI:
Ni kwa nini haikunukuliwa kutoka kwa Nabiy Hadiyth inayothibitisha kutenguka kwa uwdhu kutokana na majimaji yale pamoja na kuwa Maswahaba walikuwa wakijali mno kutoa fatwa katika mambo ya Sini yao?
JIBU:
Ni kwa kuwa majimaji haya hayamtoki kila mwanamke.