F-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu
Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu
F
Neno |
Maana |
Kiarabu |
fadhila |
kumfadhilisha mtu, kumfanyia wema, ukarimu, hisani, jamala, amali au ‘ibaadah inayosababisha kuchuma thawabu. |
فضل |
fahamu |
kufahamu |
فهم |
faharasa/faharisi |
orodha, sherehe, elezo. |
فهرس |
fakhari, fahari |
kuwa na fahari ya jambo zuri, huenda ikamaanisha fahari ya kiburi kutokana na kujionyesha. |
فخر |
fasili
|
1-pambanuo, fafanua, bainisha waziwazi, kugawa au kuainisha maaandiko katika mafungu, kushona kitambaa, fungu la maneno, kutenganisha, kuachisha |
فصل |
fasili |
sherehi, tanzua, changanua, fafanua, eleza waziwazi.
|
فصل |
fauka |
juu
|
فوق |
faulu |
kufaulu, mafanikio |
فلاح |
fazaika |
mshtuko mkubwa unaomfanya mtu azimie |
فزع |
fidiya |
kufidia jambo kama fidia ya anayeshindwa kutekeleza ibaadah fulani, au kufidia kutokana na kupindukia mipaka katika ‘ibaadah, mfano: kufidia kwa kulisha maskini kwa ambaye hawezi swawm ya Ramadhwaan. |
فدية |
fikiri |
kufikiri, kuwaza, kudhania. |
فكر |
fisadi |
ufisadi |
فساد فسد |
furahi |
kufurahi. Katika Qur-aan huenda ikamaanisha kufurahi kwa kawaida au kufurahi kwa kujigamba kama kisa cha Qaaruwn katika [Suwrah Al-Qaswasw Aayah 76] |
فرح |
furkani |
pambanuo, bainisho la haki na batili. |
فرقان |
futahi |
kufungua, kupata ushindi wa nchi. |
فتح |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|