Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu
Misamiati (Maneno) Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu
1-Kazi hii ni pana mno, hivyo ni kazi ya kuendelezwa kuwekwa misamiati (maneno) kila tunapojaaliwa uwezo wa kukusanya.
2-Baadhi ya misamiati haya, ambayo yamezoleka katika jamii ya Kiswahili, yametumika katika Tarjama ya Qur-aan ya Alhidaaya.
3-Misamiati hii inapatikana katika Kamusi mbalimbali baadhi yao ni zifuatazo:
- Kamusi Ya Kiswahili Sanifu – Tuki
- Kamusi Ya Visawe
- English Coastal Swahili Dictionary
- English-Swahili Dictionary – Tuki