B-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu
Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu
B
Neno |
Maana |
Kiarabu |
baathi |
kufufuliwa viumbe Siku ya Qiyaamah |
بعث |
badhiri |
kuzidisha kufanya israfu khasa kwa ajili ya kujionyesha au kujifakharisha. |
بذر/ تبذير |
baghala |
nyumbu |
بغل |
bahaimu |
mnyama mwenye miguu minne |
بهيمة |
bahasa |
bei ndogo, rahisi |
بخس |
bai |
chagua mtu na kumpa uongozi, unga mkono mtu kwa kitendo anachotaka kukifanya, kuahidi kumfuata kiongozi katika kuongoza kwake. |
بيعة |
baidika |
kuweko mbali |
بعد/بعيد |
bairi |
aina ya ngamia |
بعير |
baiti |
nyumba |
بيت |
bakari |
ng’ombe |
بقرة |
balagha
baleghe |
1-kubalighisha jambo, kufikisha khabari, ujumbe. 2-kubaleghe, mvulana na msichanga kufikia umri wa upevu. |
بلغ - بلاغ |
banati |
wasichana |
بنات |
barasi |
aina ya ugonjwa wa ngozi. |
برص |
barasi |
ukoma |
برص |
barazahi |
maisha ya baada ya kufariki; kaburini hadi Siku ya kufufuliwa Siku ya Qiyaamah. |
برزخ |
batili |
kubatilisha, kulifanya jambo lisiwe lenye hukmu, kuliharibu jambo, kubatilisha ‘amali au ‘ibaadah. |
باطل |
bayana |
waziwazi, kubainisha au kudhihirisha jambo. |
بينات |
biladi/baladi |
nchi, mji. |
بلد/بلاد |
bishara |
kutoa khabari, kubashiria khabari njema au mbaya. |
بشير |
burhani |
Burhani: Muujiza, Ushahidi, Ishara, Dalili, Hoja za waziwazi kabisa zenye kuthibitisha kwa yakini na bila ya shaka na bila ya kupingika. |
برهان |
buruji |
mnara |
بروج |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|