A-Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu
Misamiati Yenye Asili Ya Lugha Ya Kiarabu
A
Neno |
Maana |
Kiarabu
|
Aakhirah |
Akhera, Siku ya Mwisho |
آخرة |
aali/a’laa |
bora kabisa, adhimu, tukufu |
العلي/الأعلى |
abadi |
daima, milele, kamwe, katu |
أبدا |
abdi (Sing) abidi (Plur)
|
mtumwa au mja wa Allaah |
عبد/عباد |
abuwabi |
milango |
أبواب |
abyadhi |
baidhati/eupe |
أبيض |
adhabu |
adhabu, mateso.
|
عذاب |
adhimu |
enye sifa/liyotukuka, tukufu/aali/Jalili, kubwa mno.
Jina na Sifa ya Allaah ('Azza wa Jalla): Mkubwa, Mtukufu Mno.
|
عظيم |
afriti |
jini mbaya anayedhuru watu |
عفريت من الجن |
afwaji |
kikundi cha watu. |
أفواجا |
ajili |
harakisha |
أجل |
ajmaina |
pamoja, wote |
أجمعون |
akhirisha |
kuchelewecha |
أخر |
akili |
akili, bongo. |
عقل |
alamina |
ulimwengu, walimwengu. |
عالمين |
ansari |
mnusuraji, msaidizi |
أنصار/ أنصاري |
ardhi |
ardhi, nchi |
ارض |
aridhi |
mabadiliko katika hali ya mwili au akili ya mtu, kukengeuka, kugeukilia mbali jambo, kupuuza. |
عرض |
arifu |
taarifa, kutaarifu, kujulisha |
عرف |
arshi |
-‘Arshi ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa) iliyokuweko juu baada ya mbingu saba.
-kiti cha enzi cha mfalme au mtawala.
|
عرش |
arzaki |
wingi wa riziki |
أرزاق |
asaa |
huenda, pengine, labda |
عسى |
ashirafu, karimu |
tukufu, ukarimu, taadhima. |
كريم |
ashiya |
jioni, usiku |
عشية |
asighari |
ndogo kabisa |
أسغر |
asilani |
kamwe, abadani, katu, kiuhalisi |
أصلا |
asira |
mateka |
أسرى/ أسير |
asisi |
kuanzisha jambo au kitu |
أسس |
ati! eti! |
neno la kutanabahisha jambo kumfanya mtu asikilize. Neno la kukanusha jambo kwa mshangao.
|
ألا |
atia |
zawadi/kipawa |
عطاء |
atibu |
toa makosa, kengemeka, shutumu.
|
يستعتبون |
atifali |
watoto wadogo |
أطفال |
auladi |
watoto wa kiume |
أولاد |
awlaa |
bora zaidi, kiupambele |
أولى |
azimia |
kuazimia kutenda jambo. |
عزم |
insi |
binaadamu, mwanaadamu, mtu |
الإنس |
istahabu |
kupendekezeka, kuhiari, kupendelea |
أستحبوا |
istihizai |
isthizai, kejeli. |
إستهزاء |
istiimaar |
utaratibu ambao nchi moja hutawal nchi nyengine kama koloni. |
إستعمار |
umuri |
mambo |
أمور |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|