63-Sharh Asmaa Allaah Al-Husnaa Wa Swifaatihi: الأَكْرَمُ
Sharh Asmaa Allaah Al-Husnaa Wa Swifaatihi
(Maelezo Ya Majina Mazuri Ya Allaah Na Swiffah Zake)
Alhidaaya.com
الأَكْرَمُ
الأَكْرَمُ
Al-Akram
Mkarimu Kuliko Wote
|
Anasema Allaah (سبحانه وتعالى):
اقْرَأْ وَرَبُّكَ الْأَكْرَمُ ﴿٣﴾
Soma na Rabb wako ni Mkarimu kushinda wote. [Al-‘Alaq (96): 3]