65-Sharh Asmaa Allaah Al-Husnaa Wa Swifaatihi: الْخَلاَّقُ
Sharh Asmaa Allaah Al-Husnaa Wa Swifaatihi
(Maelezo Ya Majina Mazuri Ya Allaah Na Swiffah Zake)
الْخَلاَّقُ
الْخَلاَّقُ Al-Khallaaq Muumbaji Wa Kila Namna Kwa Wingi
|
Anasema Allaah (سبحانه وتعالى):
إِنَّ رَبَّكَ هُوَ الْخَلَّاقُ الْعَلِيمُ﴿٨٦﴾
Hakika Rabb wako Ndiye Mwingi wa kuumba Atakavyo, Mjuzi wa yote. [Al-Hijr (15): 86]
