Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Maana Ya As-Salafiyyah Ni Kumfuata Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Na Swahaba Zake
Maana Ya As-Salafiyyah Ni Kumfuata
Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Na Swahaba Zake
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
“Maana ya As-Salafiyyah ni kufuata Manhaj (njia) ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake njia ya Mas-haba zake, kwa sababu wao ndio waliotutangulia sisi, kule kuwafuata hao ndio As-Salafiyyah.”
[Fataawaa Muhammad bin Swaalih Al-‘Uthaymiyn: Liqaa Al-Baab Al-Maftuwh (57)]