Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Yanayozidisha Nguvu Mahaba Ya Allaah Moyoni
Yanayozidisha Nguvu Mahaba Ya Allaah Moyoni
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah):
Mahaba ya Allaah hupata nguvu katika moyo wa mja kila anapofanya Dhikru-Allaah (‘Azza wa Jalla) na kusoma Qur-aan kwa wingi na kuzidisha matendo mema na kuacha matamanio ya nafsi.
[Fataawaa Nuwr ‘Ala Ad-Darb]
