Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Du’aa Kumuombea Mzazi Aliyefariki Katika Swalaah Ni Bora Kuliko Kumchinjia Mnyama
Du’aa Kumuombea Mzazi (Aliyefariki) Katika Swalaah Ni Bora Kuliko Kumchinjia Mnyama
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amejibu alipoulizwa swali kuhusu kumchinjia mzazi aliyefariki, Akajibu:
“Du’aa yako kumuombea mzazi wako (aliyefariki) katika Swalaah ya Taraawiyh au Swalaah ya Tahajjud ni bora zaidi kuliko kumchinjia mzazi wako ngamia kumi wa kike.”
[Liqaau Al-Baab Al-Maftuwh (115)]
