Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Iqaamah Ya Swalaah Ni Sababu Mojawapo Ya Rizq
‘Iqaamah Ya Swalaah Ni Sababu Mojawapo Ya Rizq
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
Amesema Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
‘Iqaamah ya Swalaah ni iongoni mwa sababu za riziki kama Anavosema Allaah (سُبْحانَهُ وَتَعالى) :
وَأْمُرْ أَهْلَكَ بِالصَّلَاةِ وَاصْطَبِرْ عَلَيْهَا ۖ لَا نَسْأَلُكَ رِزْقًا ۖ نَّحْنُ نَرْزُقُكَ ۗ وَالْعَاقِبَةُ لِلتَّقْوَىٰ ﴿١٣٢﴾
Na amrisha ahli zako Swalaah, na dumisha kusubiri kwayo. Hatukuombi riziki. Sisi Ndio Tunaokuruzuku. Na khatima njema ni kwa wenye taqwa. [Twaahaa: 132]
[Faatawaa Nuwr ‘Ala Ad-Darb (188)]