Itikadi Za Ushia Kutoka Katika Vitabu Vyao: 4 Ndoa Ya Muda Au Uzinifu Uliohalalishwa
Itikadi Za Ushia Kutoka Katika Vitabu Vyao: 4
Ndoa Ya Muda Au Uzinifu Uliohalalishwa
Ndoa Ya Muda (Mut’ah)
1. ‘Haipendezi lakina inaruhusiwa kufanya Mut’ah na Malaya, haswa kama anajulikana kwa umalaya wake’.
2. Malipo ya kufanya Mut’ah mara moja ni Pepo.
3. Wenye kufanya Mut’ah wanapokuwa peke yao hulindwa na Malaika
4. Mazungumza Yao ni Tasbihi
5. Mikono yao inapogusana madhambi huanguka kutoka kwenye vidole vyao.
6. Wanapobusiana wanapata thawabu ya Hajj na Umrah.
7. Wanapooga kila tone linaloanguka kwenye kila nywele lina thawabu kumi, na madhambi kumi hufutwa na wanaongezwa daraja mara kumi.
8. Kutoka kila tone la maji huumbwa Malaika anayefanya tasbihi hadi siku ya Qiyaamah.
9. Kufanya Mut’ah na mwanamke muumini ni kama kufanya Hajj mara sabini.
10. Wenye kufanya Mut’ah watapita Swiraat kama umeme.
11. Baada ya kufanya Mut’ah mara moja tu anafikia daraja ya Imam Al-Husayn.
12. Baada ya kufanya Mut’ah mara mbili daraja ya Imam Al-Hassan hufikiwa.
13. Baada ya kufanya Mut’ah mara ya tatu daraja ya Imam ‘Ali hufikiwa. Baada Mut’ah yan ne mtu anakuwa ashafikia daraja ya Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam).
Marejeo:
(1.) Tahrirul Wasillah Juzuu 2, Uk.292.
(2.) Ujulul-Hasana, Uk.15.
(4.) bid.
( 5.) Ibid.
(6.) Ibid.
(7.) Ibid.
(8.) Ibid.
(9.) Ujul al Hasana Uk. 16.
(10.) Ujul al Hasana Uk. 17.
(11.) Tafseer Minhajus Sadiqeen 1: 356.
1. Taqiyyah (Kudhihirisha Wasiyoyaamini (Udanganyifu Au Unafiki)
2. Mashia wanaamini Taqiyyah.
3. Maana yake ni ‘Udanganyifu Mtukufu’.
4. 3. Ni kuamini jambo fulani lakini kusema unaamini jambo lingine.
5. Wanaamini 9/10 ya Dini ni Taqiyyah.
6. Wanasema asiyekuwa na Taqiyyah hana dini.
7. Kuna malipo makubwa kwa kusema uongo.
8. Wanasema Maimam wao walifanya Taqiyyah
9. Wanasema ‘Aliy, Al-Hasan, na Al-Husayn walifanya Taqiyyah.
10. Wanasema Al-Husayn alifanya Taqiyyah.
11. 10.Wanaswali Swalah ya jamaa na Masunni (kitaqiyah)
12. 11 Wanatembelea wagonjwa wao (kitaqiyah)
13. Wanaswalia maiti za Masunni (kitaqiyah)
Marejeo:
(1.) Uswulul - Kafi.
(2.) Ibid.
(3.) Ibid.
(4.) Ibid.
(5.) Ibid.
(6.) Ibid.
(7.) Islaamic Goverment Uk. 35/ 133.
(8.) Ibid.
(9.) Ibid.
(10.) Uswuulul - Kafi.
(11.) Ibid.
(12.) Ibid.
Mambo Mengine Mbali Mbali Wanayoamini Mashia
1. Wana Qur’an yao, wanaoamini ni sahihi zaidi kuliko tuliyonayo na atakuja nayo Imamu wao Mahdi atakapotoka pangoni!
2. Wana vitabu vyao vya HadithI wanavoviamini zaidi (kama
Uswuul ul Kaafi n.k.)
3. Hawaamini vitabu vyetu vya Hadithi kama vile Al-Bukhaariy na Muslim
4. Wana Fiqhi yao, Fiqhi Ja’fari.
5. Wana muono wao wenyewe kuhusu Allaah.
6. Wanaamini Maimamu wao huletewa wahyi.
7. Itikadi, Swalah, Adhana, Hajj na Fiqhi yao
ni tofauti na yetu.
8. Muono wao kuhusu Rusuli ni tofauti vilevile (wao huamini Rusuli wote walifeli).
9. Muono wao kuhusu Swahaba pia ni tofauti (wanaamini kuwa Swahaba wote waliritadi baada ya Nabiy wa Allah (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) ila wachache tu.
10. Wanafanya Mut’ah (ndoa ya muda)
11. Nyakati zao za kula daku na kufuturu ni tofauti.
12. Kuosha maiti pia ni tofauti.
13. (Wanadai kuwa) Makhalifa wanne ni ma-mbwa.
14. Umma wa Kiislamu ni kama miguruwe.
15. ‘Aaishah na Hafsa ni wanafiki.
16. ‘Aaishah na Hafsa walimpa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) sumu kabla hajafariki.
17. Allaah Awalaani ‘Aaishah na Hafsa na baba zao (Abu Bakr na ‘Umar).
18. Dini ya dola ya Iran
ni Ushia Ja’fariya. Hii ni milele na haitobadilishwa.
19. Kila mtu asiyekuwa Shia ni mshenzi.
20. Kundi la Nasibi (wanakusudia Masunni) ni wale waliowafadhilisha Abu Bakr na ‘Umar juu ya ‘Aliy.
21. Allaah hajaumba kiumbe makruhu kuliko mbwa. Lakini Nasibi (Masunni) ni makruhu zaidi ya hata mbwa katika macho ya Allaah.
22. Watu wa Makkah wanakataa waziwazi kuwepo kwa Allaah.
23. Watu wa Madiynah ni najisi mara 70 kuliko wale wa Makkah.
Marejeo:
(1.) Uswuul al Kafi.
(6.) Uswuul al Kafi.
(7.) Uswuul al Kafi Vol2 P278/ Tafseer - al- Waeelah Juzuu 1 Uk.280.
(8.) Ijtihaad - wa- yak- jihati- Khomeni -15/ Islamic Goverment Uk.37/ Tehran Times 29 June 1980/ Khomeni Imaam Mahdi Celebration.
(11.) Tafseer - al- Waseelah
(12.) Ibid.
(13.) Tazkiratul Aimma Uk.102- Baqir majlisi.
(14.) Usul al Kafi Juzuu 2, Uk.337.
(15.) Hayatul Qutub - 2:745- M.B. Majlis.
(16.) Maqbool Dehlavi - Imaam Baqir- Surah Al-‘Imraan: 134.
(17.) Ibid.
(18.) Katiba.
(19.) Furu’u al Kafi fiy Kitaabil Rawdah - 135/245.
(20.) Haqqul Yaqeen 521.
(21.) Ibid 2/516.
(22.) Ibid 2/516/ Ilaalus Sharaa P299 - Shaykh Saduuq. Uswuul al Kafi Uk.410
(23.) Ibid