02-Hadiyth Husnul-Khuluq: Iymaan Ya Mtu Haikamilikii Ila Kwa Husnul-Khuluq
Hadiyth: Husnul-Khuluq (Tabia Njema)
Hadiyth Ya 2
02-Iymaan Ya Mtu Haikamilikii Ila Kwa Husnul-Khuluq
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ (رضي الله عنه) قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ: ((أَكْمَلُ الْمُؤْمِنِينَ إِيمَانًا أَحْسَنُهُمْ خُلُقًا وَخِيَارُكُمْ خِيَارُكُمْ لِنِسَائِهِمْ خُلُقًا)) الترمذي وقال: حديث حسن صحيح
Imepokelewa kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Muumin aliyekamilika iymaan ni yule aliye na husnul-khuluq (tabia njema) kabisa, na wabora wenu ni wale walio bora kwa wake zao kwa tabia)) [At-Tirmidhiy na amesema Hadiyth Swahiyh Hasan]