02-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kupendeza Kuvaa Kamisi (Kanzu)
Riyaadhw Asw-Swaalihiyn
باب استحباب القميص
02-Mlango Wa Kupendeza Kuvaa Kamisi (Kanzu)
عن أُمِّ سَلَمَة رضي الله عنها ، قالت : كَانَ أحَبُّ الثِّيَابِ إِلَى رسول الله صلى الله عليه وسلم الْقَمِيص . رواه أَبُو داود والترمذي ، وقال : (( حديث حسن )) .
Amesema Ummu Salamah (Radhwiya Allaahu 'anhaa): Nguo bora kwa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ilikuwa ni kanzu." [Abu Daawuwd na At-Tirmidhiy, na akasema hii ni Hadiyth Hasan].