49-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kupendeza Kufunga Siku Sita za Shawwaal
Riyaadhw Asw-Swaalihiyn
باب استحباب صوم ستة أيام من شوال
49-Mlango Wa Kupendeza Kufunga Siku Sita za Shawwaal
عن أَبي أيوب رضي اللهُ عنه : أنَّ رسولَ الله صلى الله عليه وسلم ، قَالَ : (( مَنْ صَامَ رَمَضَانَ ثُمَّ أتْبَعَهُ سِتّاً مِنْ شَوَّالٍ ، كَانَ كَصِيَامِ الدَّهْرِ )) رواه مسلم .
Abu Ayyub (Radhwiya Allaahu 'anhu) amesema: Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Mwenye kufunga mwezi wa Ramadhwaan na akafuatiliza siku sita za Shawwaal (Mfungo Mosi) anakuwa ni kama aliyefunga milele." [Muslim]