045-Maswali 200 Na Majibu Ya ‘Aqiydah: Nini Kinyume Cha Tawhiyd Ya Uungu?
200سُؤالٌ وَ جَوَابٌ فِي الْعَقِيدَة
Maswali 200 Na Majibu Ya ‘Aqiydah
لِلشَّيخ حافِظ بن أحْمَد الحَكمَيّ
Shaykh Haafidhw Bin Ahmad Al-Hakamiyy (رحمه الله)
Imefasiriwa na: Alhidaaya.com
045-Nini Kinyume Cha Tawhiyd Ya Uungu?
Swali:
س: ما هو ضد توحيد الإلهية
Nini kinyume cha Tawheed ya Uungu?
Jibu:
ج: ضده الشرك وهو نوعان شرك أكبر ينافيه بالكلية وشرك أصغر ينافي كماله.
Kinyume chake ni kumshirikisha Allaah, nayo ina aina mbili:
(i) Shirki kubwa inayopinga mambo yote.
(ii) Shirki ndogo inayopinga ukamilifu wake.