064-Maswali 200 Na Majibu Ya ‘Aqiydah: Ni Vipi Jina Lake Mtukuka Aliye Juu Linaloambatana Na Jina Lake, Sifa Zake Maana Yake Kama Vile Za Dhahiri, Mtenza Nguvu na Mtukuka?
200 سُؤالٌ وَ جَوَابٌ فِي الْعَقِيدَة
Maswali 200 Na Majibu Ya ‘Aqiydah
لِلشَّيخ حافِظ بن أحْمَد الحَكمَيّ
Shaykh Haafidhw Bin Ahmad Al-Hakamiyy (رحمه الله)
Imefasiriwa na: Alhidaaya.com
064-Ni Vipi Jina Lake Mtukuka Aliye Juu Linaloambatana Na Jina Lake, Sifa Zake Maana Yake Kama Vile Za Dhahiri, Mtenza Nguvu na Mtukuka?
Swali:
س: : ماذا يتضمن اسمه العلي الأعلى وما في معناه كالظاهر والقاهر والمتعالي
Ni Vipi Jina Lake Mtukuka Aliye Juu Linaloambatana Na Jina Lake, Sifa Zake Maana Yake Kama Vile Za Dhahiri, Mtenza Nguvu na Mtukuka?
Jibu:
ج: يتضمن اسمه العلي الأعلى الصفة المشتق منها وهو ثبوت العلو له عز وجل بجميع معانيه, علو فوقيته تعالى على عرشه عال على جميع خلقه بائن منهم رقيب عليهم يعلم ما هم عليه قد أحاط بكل شيء علما لا تخفى عليه منهم خافية. وعلو قهره فلا مغالب له ولا منازع ولا مضاد ولا ممانع, بل كل شيء خاضع لعظمته, ذليل لعزته مستكين لكبريائه, تحت تصرفه وقهره لا خروج له من قبضته. وعلو شأنه, فجميع صفات الكمال له ثابتة وجميع النقائص عنه منتفية عز وجل وتبارك وتعالى وجميع هذه المعاني للعلو متلازمة لا ينفك معنى منها عن الآخر.
Jina Lake: Mtukuka Aliye Juu Tukufu Linaambatana na sifa zitokanazo na Jina Hilo, kwa kuthubutu utukufu Wake Mshindi Mtukufu kwa maana zote za Utukufu, Amepambanuka Nao, kuwa Kwake Juu ya ‘Arshi Yake, pia juu ya viumbe Wake wote, tena wazi kwao, Mwenye kuwasimamia na Mjuzi wa hali zao, na Amewazunguka kwa elimu Yake, na Hakijififichi Kwake kitu chochote, na nguvu Zake hakuna wa Kumshinda, wala mwenye kupigana Nae, wala mwenye kuhalifiana Nae au mwenye Kumzuia, bali kila kitu kinanyenyekea utukufu Wake, dhalili kwa nguvu Zake, chenye kutulia kwa kiburi Chake, chini ya usimamizi na uteuzi nguvu Wake, hakuna wa kutoka wenye miliki Yake na Utukufu wa mambo Yake, na sifa Zake zote za ukamilifu zimethibiti Wake Ulioimara, na sifa zote za upungufu, zinakanushika Kwake Mtukufu Aliyetukuka. Hizi za kimaana zinalazimika Kwake Yeye bila haiepukiki maana yoyote kwenye nyingine.