10-Adabu Za Ndoa Katika Sunnah Iliyotakasika: Kuoga Ni Bora Zaidi
Kwa vyovyote, kukoga josho (ghuslu) kunapendeza zaidi kuliko kufanya wudhuu katika hali
أنَّ النَّبي صلى الله عليه وسلم طاف ذَاتَ يَوْمٍ علَى نِسائِهِ يَغْتَسِلُ عِنْدَ هَذِهِ وَعِنْدَ هَذِهِ. قال فَقُلْتُ لَهُ: يا رسولَ الله ألاَ تجْعَلُهُ غُسْلاً وَاحِداً؟ قال: ((هَذَا أزْكَى وَأطْيَبُ وَأطْهَرُ))
"Mtume aliwazungukia (aliwaingilia) wake zake usiku mmoja, akikoga katika kila nyumba ya mmoja wao". Yeye (msimuliaji) alimuuliza Mtume, je, si ungeliweza kukoga mara moja tu?' (yaani mwishoni). Mtume akajibu: ((Hivi ni utakaso zaidi, usafi na bora))[1]