14-Uswuul Al-Fiqhi: Wakati Wa ‘Aliy Ibn Abi Twaalib (Radhiya Allaahu ‘Anhu)
‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alikuwa
Pale (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alipomteua ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘Anhu) kuwa ni jaji nchini
‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alielezea elimu yake kwa kusema: “Kwa Allaah, hakuna aya ya Qur-aan iliyowahi kuteremshwa isipokuwa nilijua nini ilishushwa, wapi na kwanini ilishushwa. Mola wangu Ameniwekea juu yangu moyo ambao unafahamu na ulimi wenye kutamka vyema.”
Wakati wowote linapopelekwa jambo kwa ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘Anhu) kwa maamuzi atalikubali bila ya kusita. Na
‘Aishah (Radhiya Allaahu ‘Anha) alisema: “Kwa mnasaba wa Sunnah ya (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), alikuwa ni mbora na maarufu kuliko watu wote.”
‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alikuwa akitengeneza maana yake mwenyewe kwa njia ya Ijtihaad ikiegemezwa katika al Qiyaas, al Istis-haab[1], al Istihsaan[2], na al Istislaah[3], mara zote akiegemeza mawazo yake kwenye madhumuni mapana ya Shari’ah pindi anaposhauriwa kuhusu uwezekano wa kuengezeka Hadd-adhabu inayopatikana kwa yule aliyepatikana na hatia ya kunywa ulevi, alipambanisha ulewaji wa msingi usiokuwa sahihi kwamba ulewaji unaweza kumpelekea mtu kufanya tuhuma kama hizo.
Wakati wa Khilaafah yake, ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alimtaka ushauri ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘Anhu) kuhusiana na adhabu ya kundi la watu walioafikiana kwa pamoja kukusudia kufanya mauaji. ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alisema, “Ewe Kiongozi wa Wakweli! Kama kundi la watu watakusanyika pamoja katika kuiba, je, hutokata mkono mmoja wa kila mmoja?” Pale ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alipojibu kwa kukubali, ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alisema, “Ndivyo, hivyo inavokuwa kwa kesi hii.” Kwa sababu hiyo, ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alitamka msemo wake maarufu: “
Mfanano baina ya mauaji na wizi ulifanywa kwa sababu katika kila kesi kuna msukumo wa kijinai uliogaiwa baina
Juu ya hivyo, ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alipendelea kuwachoma moto wakiwa hai wale walioritadi kwa nguvu na wazushi waliomzulia, ijapokuwa alikuwa anaelewa vyema kwamba maamuzi ya Sunnah yapo laini kumuweka asiyeamini
“Nilipotambua namna jambo lilivyo zito,
Nikawasha moto mkubwa na kusimama kwa ajili ya Qanbar.”
Pale ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alipomsikia mwanamke ambaye mumewe alikuwa nje kwa safari za kijeshi na ambaye nyumbani kwake watu asiowajua walikuwa wakimjia. Hivyo, ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘Anhu) akampelekea ujumbe kwamba asipokee wageni pale mumewe anapokuwa hayupo. Pale huyo mwanamke aliposikia kwamba Khaliyfah anataka kuzungumza naye, alifikwa na woga, na kwa vile alikuwa mjamzito, aliharibu mimba akiwa njiani kumuona ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘Anhu).
‘Umar (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alikereka
Baadaye ‘Umar (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alimgeukia ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘Anhu), akimtaka mawazo yake. ‘Aliy (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alijibu, “Watu hawa wamezungumza, na
‘Umar (Radhiya Allaahu ‘Anhu) alisema, “Kwa Allaah, umezungumza nami kwa utiifu. Naapa kwamba usikae chini hadi ugawe pesa hii miongoni mwa watu wako.”
[1] Al-Istishaab: Kutambua mazingira katika utaratibu wa kutoa hoja ya kisheria.
[2] Al Istihsaan: Kuikubali Qiyaas-kufananisha ambayo inaonekana kuwa juu kisheria kwa kulinganisha na mfananisho ulio dhahiri. Ni katika maelezo hayo ambapo al Istihsaan inakuja kwa mara kadhaa kutafsiriwa
[3] Al-Isislaah: Kutambua kisheria ustawi na hali njema za wote, mmoja mmoja na jamii kwa pamoja.