08-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Zakaatul-Fitwr Igaiwe Kwa Mtu Mmoja Au Watu Mbali Mbali?
Zakaatul-Fitwr Igaiwe Kwa Mtu Mmoja Au Watu Mbali Mbali?
Al-Lajnah Ad-Daaimah
SWALI:
Je, Zakaatul-Fitwr ni kwa ajili ya mtu mmoja pekee au igaiwe kwa wengi?
JIBU:
AlhamduliLLaah
Inaruhusiwa kutoa Zakaatul-Fitwr kwa mtu mmoja kwa ajili ya mtu mmoja na inaruhusiwa pia kuigawa kwa watu zaidi ya mmoja.
Na Allaah ni Mweza wa yote.
[Fataawaa Al-Lajnah (1204)]