09-Al-Lajnah Ad-Daaimah: Kuna Du'aa Ya Kusomwa Inapotolewa Zakaatul-Fitwr?
Je, Kuna Du'aa Ya Kusomwa Inapotolewa Zakaatul-Fitwr?
Al-Lajnah Ad-Daaimah
www.alhidaaya.com
SWALI:
Je, kuna du'aa mahsusi iombwe wakati wa kutoa Zakaatul-Fitwr na ni du'aa gani?
JIBU:
AlhamduliLLaah
Hatujui du'aa yoyote mahsusi ipasayo kuombwa wakati wa kutoa (Zakaatul-Fitwr).
[Fataawaa Al-Lajnah Ad-Daaimah (1204)]