Historia Sahihi Ya Ibn Sina (Avecenna) Na Je, Alikufa Akiwa Ni Muislam?

Historia Sahihi Ya Ibn Sina (Avecenna) Na Je Alikufa Akiwa Muislamu?

 

Alhidaaya.com

 

 

 

SWALI:

 

Jina langu *** (ALHIDAAYA haiweki majina ya waulizaji) mwanafunzi kidato cha sita *** sec school tanga Tanzania. Naomba nifahamishwe historia sahihi ya huyu bwana aliyekuwa na kitabu cha cannon of medicine au kawan'nun of twiba, kama nitakuwa nimekosea jina lake mtasahihisha ambaye alijulikana kama ibn sinaah au aveccina. je bwana huyu nini historia ya uislam wake na je alikufa mji gani na wakati wa mwisho wa uhai wake alikufa akiwa muislam au laa kwa mujibu wa itiqaad ya ahlu sunnah wal jamaa. Wabillah tawfiq

 

JIBU:

 

AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aalaa) Rabb wa walimwengu, Swalaah na Salaam zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpaka Siku ya Mwisho.

 

Bonyeza kiuongo kifuatacho upate maelezo bayana kuhusu Ibn Sina.

 

Historia Ya Ibn Sina (Avecenna) Na 'Aqiydah Yake

 

 

Na Allaah Anajua zaidi

 

 

Share