Mume Amenikasirikia Kupanda Gari La Mtu Hataki Nirudi Nyumbani Anataka Talaka, Je Ni Haki?
SW
Asalaam alaykum
Mume wangu kanikuta nikiwa ndani a gari la mtu binafsi na ikiwa hilo gari ndilo linalotumika kutupeleka mida ya usiku kituoni ili kutuepusha na vibaka wa usiku, namuita mume wangu nimtambulishe yule ni nani lakini hakutaka na kunitolea matusi na maneno makali, nikapaki gari pembeni ili nimfate kwenda kumuita akakataa na kupanda ndani ya gari na kuondoka, na kunambia nisirudi nyumbani ataniua, na anatafuta mashehe tuachane je hii ni haki na kwa nini adhani hivo?
Wabillah toufiq
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu kukutwa na mumeo ukiwa ndani ya gari. Hakika haya ni matatizo yanayopatikana katika jamii yetu duniani.
Ikhtilaatw (Kuchanganyika Wanaume Na Wanawake)
Na
Katika hali ya dharura unaweza kuruhusiwa kubebwa kwenye gari la dereva ambaye si Maharimu wako,
Na katika hali kama hiyo ulipaswa uwe ushamjulisha mumeo jambo
Ikiwa ulimueleza kuwa katika kazi unayofanya usiku inabidi upelekwe kituoni na gari ya kazini dereva akiwa ni mwanamme naye akakubali baada ya kumwambia ukweli basi atakuwa ana makosa mumeo kufanya aliyofanya. Ama ikiwa hukumfahamisha
Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amehimiza
Ama kukutisha kuwa atakuua pia si katika maadili ya Kiislamu, hivyo inakupasa wewe uwapigie watu wa nyumbani kwako na kwao kuhusu tukio
Kwa kuwa umbali nasi hatuna budi kukuelekeza kwa walio karibu nawe ili wapate kusuluhisha tatizo
Tunakutakia mafanikio mema na kheri katika mazungumzo yakiwepo ya kutafuta suluhisho.
Na Allaah Anajua zaidi