Kutafuta Mke Au Mume Katika Mitandao Ya Kijamii Inajuzu?
SWALI:
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakat, Jee inajuzu kisheria kuchagua mchumba kwenye website. Kwani nimeona katika website moja ya mafunzo ya kiislam wameweka sehemu ya kuchagua mchumba. Ni
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu kutafuta mchumba kwenye internet.
Kwa hakika hii inaonekana ni njia moja ya kutafuta mchumba, hivyo kuwashikanisha Waislamu walio mbali na kuwaleta pamoja.
Hakika Uislamu umeweka njia zake za kutafuta mchumba – mume kumtafuta mke na kinyume cha hayo. Hata hivyo, yapo matatizo ambayo yanapatikana katika suala
Pia watu wasiwe na mawasiliano ya moja kwa moja bila usimamizi, na inapobidi wakutane, basi wasikutane peke
Suala nyeti ni kuwa wachumba hawa watajuaje kuwa mwenziwe ni mwenye Dini na maadili mema
Na Allaah Anajua zaidi