Talaka Inasihi Ikiwa Uume Wa Mume Ni Mdogo Sana Au Uke Wa Mke Ni Mkubwa Sana
SWALI:
Asalam alaykem?
Mimi ni kijana wa kitanzania lakini kwa sasa nipo nje ya nchi, hapa tulipo kidogo tuna swali letu kidogo lina tutatiza kwa hiyo sheikh tulikuwa tunaswali letu.
Na swali lenjewe ni je kuna ushahidi wowote kwenye quraan au hadithi inayosema kwamba je
Ahsante sheikh!!!!!!!!!!!!
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu kusihi kwa talaka kwa ajili ya uume kuwa mdogo au sehemu nyeti za mwanamke kuwa kubwa.
Zipo sababu ambazo zinachukuliwa kutokana na ufahamu wa Qur-aan na Hadiyth ambazo zinamruhusu mke kutaka talaka. Hakika ni kuwa kunatakiwa kuwe na masikilizano katika ndoa.
Na mapenzi hupatikana kwa kupatikana uwiano baina ya wanandoa. Wakati uwiano huo ukikosekana basi ndoa ile haiwezi kudumu ila kupatikane suluhu ya kudumu baina
Upo wakati mwengine mume anakuwa na tatizo, hivyo kwa sababu moja au nyingine kutoweza kumtimizia mke wake, hasa kitandani. Kutoweza
Ama kwa mwanamke ni kuwa na mfupa kwenye sehemu zake za siri, kumea kinyama, kuwa na harufu mbaya kutoka katika sehemu hizo, au sehemu hiyo kuwa kubwa
Kwa kuwa tatizo
MUHAMMAD SWAALIH -Malezi Ya Kijinsia Sehemu Ya 1
MUHAMMAD SWAALIH - Malezi Ya Kijinsia Sehemu Ya 2
Na Allaah Anajua zaidi