Alhidaaya Wanayo Madrasa Afrika Mashariki Ili Awapeleke Wanawe Wapate Mafunzo Swahiyh?
SWALI:
Alhamdullillah Namshukuru Mungu kwa kuwaezesha kutuelimisha. Napenda kuwaluliza je muna madrassa ama shule
Wasalam Aleikum.
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu Alhidaaya kuwa na Madrassah Afrika Mashariki.
Hakika Alhidaaya haina Madrassah yoyote ile inayoiendesha ila wahusika wake wanafanya harakati mbalimbali za kida’wah
Alhidaaya inahusika na tovuti hii tu iliyo mbele yako.
Tunamuomba Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) Atuwezeshe kufanya mengi zaidi
Na Allaah Anajua zaidi