Urithi Kwa Watoto Wa Kaka Aliyefariki
SWALI:
A SALAAM ALEYEEKUUM WARAHAMATULAHI WABARAKATU, MIMI NINA KAKA YANGU, YEYE ALI FARIKI MWANZ0 NA BAADAYE AKAFARIKI BABA YETU, JE WATOTO WA HUYU KAKA YETU WANASTAHILI KUPEWA URITHI NA KAMA NDIVYO. MGAO WAO UTAKUWAJE, NAOMBA UFAFANUZI KUPITIA MAKALA ZENU.
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani kwa swali lako kuhusu urithi wa wajukuu ambao babu
Hakika ni kuwa watoto wa kaka yako watakuwa ni wenye kumrithi baba
Ama kwa hali hiyo uliyotaja watoto wa baba yako wako ukiwa wewe ni mmoja wao, basi hao wajukuu hawatakuwa na sehemu ya kurithi.
Na Allaah Anajua zaidi