08-Kwa Ajili Ya Allaah Kisha Historia: Mtazamo Wa Mashia Kwa Ahlus Sunnah

 

Wakati tunaporejea na kuvisoma vitabu vyetu vya kishia vinavyotegemewa kuwa ndivyo sahihi na rejea za msingi pamoja na kauli za wanazuoni wetu wakubwa na mujtahidina wetu,tunakuta kwamba adui peke wamashia ni Ahlus Sunnah, kushinda mayahudi na  wanasara kutokana na uadui huo mashia waliwapachika Ahlus sunnah kwa kuwaita kwamba wao ni wajinga na wasiojua kitu na wakawaita pia kwamba ni wehu na madhalimu.

Na itikadi ya mashia mpaka leo hii wanamchukulia kila Ahlus Sunnah ni kama mkia ulioko nyuma [yaani ni uchafu najsi] na shia yoyote yule kama anataka kumtukana mwenzake na anapotaka kulifanya tusi hilo kuwa ni lenye kuchukiza na kutia hasira moyoni humwambia mwenzake kwa kutumia usemi huu [mwili wa sumu upo kaburini kwa baba yako] kwa sababu Sunni ni najsi kuliko nguruwe na huo ndio mtazamo wa shia wanavyowachukulia Ahlus Sunnah .

Na imefikia mashia kiwango cha kusema kwamba lau

kama mshia atamgusa msuni hata kama angeoga mara elfu moja na kujitaharisha mara hizo hizo elfu moja basi najsi hiyo isingeweza kumtoka kabisa. Na baada ya chakula cha usiku, tukawa tumekaaa na mgeni wetu kwa ajili ya kuzungumza nae katika usiku huo, na kipindi hicho bado nilikuwa ni kijana ndiyo kwanza nipo masomoni kwenye hiyo (Hoza)

.

Na ndani ya mazungumzo yetu, niligundua kwamba huyu mgeni ni msuni  na anatoka sehemu inayoitwa Saamaraa na alikuja hapa  Najifu kwa haja maalumu na kulipokucha tulimpeleka  mgeni wetu mlo wa asubihi na akala. Hata mgeni wetu alituaga kurudi anakotoka. Na hapo mzazi wangu akampa yule mgeni kiasi Fulani cha mali kwani huenda akawa anahitaji katika safari yake.

Yule mgeni akatoa shukrani zake kwetu kw amakaribisho mema aliyoyapata kutoka kwetu. Na baada ya yule mgeni kuondoka tu, mzazi wangu aliamuru kuchomwa kile kitanda alicholalia yule mgeni,na pia kuvitwaharisha vyombo vyote alivyotumia kula yule mgeni.kwasababu mashia wote wanaitikadi(wanaamini) kwamba wasunni wote ni najsi na hii ndiyo itikadi ya mashia wote, kwani wanazuoni wetu wote wa kishia wamemnasibisha kuwa ni kafiri na  na ni sawa na nguruwe na ndipo walipomuweka kwamba yeye msuni ni miongoni mwa  najsi. Na kutokana na haya:

  1. Imetupasa kutafutiana [mashia] amepokea Al Swuduuq kutoka kwa Ally bin As Baat alisema nilisema kumwambia Al Ridhaa (Alayhis Salaam) kuna wakati linajitokeza jambo ambalo linanishinda kulijua kulifahamu lakini  inanilazimu kulijua jambo hilo na katika umri wangu ninaoishi hakuna hata mtu wa kuweza  kunipa fatwa katika suala langu.

    Na Al Ridha akanijibu huyu bwaba kwamba hapa mjini yupo mwanazuoni mkubwa nenda ukamuulize kuhusu hilo jambo lako,na atakapo kupa fatwa(jibu la swali lako) katika jambo lolote lile basi wewe lipokee kinyume chake(shika kinyume chake) kwani haki ipo  hapo. Angalia [Uyuun Akh Baar Al Ridhaa, Juzuu  1, Uk:275,Chapa ya Teherani]

Na imepokewa kwa Al Hussain ibn Khalid kutoka kwa Al Ridhaa kwamba alisema: mashia (wafuasi) wetu ni wale wenye kutii amri zetu, wanaozipokea kauli na kuzifanyia kazi. Na wafuasi wetu wa kweli ni wale wanaozikhalifu kauli za maaduii zetu japo kuwa ni za kweli.na yeyote katika mashia(wafuasi wetu) asiyefanya hivyo hayupo na sisi,bali na yeye ni adui wetu. [Al Fusuul Al Muhimat Uk: 225, Chapa ya Qum].

Na imepokewa na Al Mufadhal ibn ‘Umar na imepokewa na Jaafar kwamba alisema ,atakuwa amesema uongo yeyote yule  atakaedai kwamba yeye  ni katika mashia (wafuasi) wetu na hali ya kuwa  anafungana na wasiokuwa sisi (mashia). [Al fusuulu Al Muhimat

Uk: 225.

 

  1. Kutoruhusiwa kufanya kazi kwa yale ambayo yanayowafikiana na wote na kukubaliana na njia zote. Na bwana al Huri Al Aamiliy ameuweka mlango huu  kwa makusudi katika kitabu chake kinachoitwa [Wasailul Ashia] na akasema katika mlango huo. Nahadithi zinazuzungunzia maudhui hii ni nyingi nazo zisizo nashaka na zenye kukubalika moja kwa moja.

 

  1. Na miongoni mwa hadithi hizo ni kauli ya Aswaadiq (Alayhis Salaam) kati ya hadithi mbili zinazo hitalifiana  zichunguzeni hadithi hizo kama  zina habari za jamaa wasio kuwa mashia. Na iwapo kama kuna hadithi iliyoafikiana na habari zao basi hadithi hiyo iacheni na kama kuna hadithi yeyote inayotofautiana na habari zao basi ichukueni hadithi hiyo kwani ndiyo sahihi.  Na akasema tena (Alayhis Salaam) na zitakapo wafikieni hadithi mbili zenye kuhitilafiana basi ninyi chukueni ile hadithi ambayo iliyowakhalifu jamaa[ambao ni shia]. Na akasema tena (Alayhis Salaam) chukueni kila hadithi ambayo iko kinyume cha jamaa. Na akasema, na hadithi yoyote iliyowakhalifu jamaa zetu (Ahlus Sunnah) basi hadithi hiyo ndiyo yenye uongofu. Na akasema tena (Alayhis Salaam) ninaapa kwa Allah (Subhaanahu wa Ta’ala) kwamba ninyi hamna chochote kwa yale waliyokuwa nayo. Na wao hawana chochote kwa yale mliokuja nayo kwa hiyo wakhalifuni kwani wao ni watu wasiokuwa na dini.

 

 

Na amesema tena: Wallahi ninaapa kwa Allah,ya kwamba Mwenyezi Mungu  hakujaalia ubora kwa yeyote yule anaewafuata wasio kuwa sisi (mashia) yule anaeafikiana na sisi ni yule ambae anaewakhallifu maadui zetu, lakini  yule anaewaafiki maadui zetu kwa maneno au kwa matendo basi yeye sikatika sisi wala sisi sikatika wao.

Na amesema Al Abdu Asswaleh (Alayhis Salaam) katika hadithi mbili tofauti, chukua yale yote ambayo yamewakhalifu jamaa Ahlus Sunnah na muyaache yale ambayo yaliyowaafiki jamaa. Katika kauli ya  Ridhaa(Alayhis Salaam) pindi zitakapo wafikia habari mbili zenye kugongana basi zichunguzeni kwa makini  mtakapo kuta moja yake ya khabari hizo zinazowakhalifu hao jamaa Ahlus Sunnah  zichukueni na zile zinazowakhalifu hao Asswadiq (Alayhis Salaam) wallah hakuna haki yeyote iliyobaki kwetu isipokuwa kuelekea kibla tu. Angalia Alfusulu Al Muhimat 325-326.

 

 

Na ameandaa Fasul hii Asswadiq na  akasema  imepokewa  na abdii Ishaaq Al Arjaaiy alisema , amesema Abu Abdiillah(Alayhis Salaam) je unajuwa ni kwanini mmeamrishwa kuyachukua(kuyafuata ) yale  ambayo yako kinyume na yale wanayosema jamaa (Ahlus Sunnah)  ni kasema kumwambia sijui bwana.  Akasema hakika Sayidina Ali (Alayhis Salaam) hakuwa akifanya ibada yeyote ya Allah isipokua umma ulikuwa uko kinyume yake kwa ajili ya kubatilisha amri zake.

Na walipokua wakimuuliza Amirili muuminin juu ya jambo lolote wasilolijua, na pindi   anapowajibu wao huenda kinyume na yeye ili kuwachanganya watu wasifuate ukweli wa mambo.

Hapa tunajiwa maswali mengi

sana kama ifuatavyo: hivi tuseme iwapo hali ipo kwa jamaa Ahlus sunnah katika jambo Fulani je inatupasa sisi kilichukulia kinyume chake na kuiacha kauli yao?

Hapo akamjibu, Assayid Mohammad Baaqir Asswadir akasema, ndio inatupasa kulichukulia jambo

hilo kinyume cha kauli yao. Kwani kilichukulia jambo kinyume cha kauli yao ijapo kuwa jambo hilo ni kosa hilo ni jepesi sana kuliko  kuwakubalia wao ijapo kua jambo hilo ni la kweli kwao hao.hakika chuki za mashia kwa Ahlus Sunnah ni jambo la siku nyingi sana wala si leo,na ni chuki zilizoota mizizi siku nyingi tokea wakati wa maswahaba wa Mtume hadi leo hii. Isipokuwa tu maswahaba watatu tu, hao hawamo ndani ya chuki hiyo nao ni Abu Dharr, Miqdaad na Salmaan.

Na kwa hali

kama hiyo imepokewa Al Kulaini kutoka kwa Abi Jaafar kwamba alisema. Watu wote walikuwa wameritadi (wametoka katika uislamu) baada ya kufa kwa Mtume isipokuwa maswahaba watatu nao: Miqdaad bin Aswad, Salmaan Al Farisy  na Abu Dharr Al Ghafaariy. Angalia [Raudhat al Kaafiy; Juzuu 8, Uk: 246.

Lau tungeliwauliza mayahudi, ni nani mbora wa watu katika mila yetu (dini) Wallahi wangesema ni wale maswahaba wa Musa. Na hata tungeliwauliza maswahaba, ninani mbora wa watu katika mila yenu? Wangesema wanafunzi wa Isa.

Na lau kama tungewauliza mashia. Ni nani watu waovu na wabaya zaidi katika mtizamo wenu na katika akida (imani) yenu? Wallahi wangesema watu waovu zaidi na wabaya wetu ni Maswahaba wa Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam).

Hakika maswahaba wa Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) ndio watu wa kwanza wanaokimbiwa na matusi ya mashia na kulaaniwa na  kuvunjia heshima zao hasa Abu Bakr na ‘Umar na ‘Uthmaan, pamoja na wake zake Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam) hawa wawili  Bi Aaisha bint Abi Bakr na Hafsa bint ‘Umar, kutokana na hali hii imekuja katika dua za mashia dua inayoitwa dua ya masamu mawili ya kiquraish dua yenye kusema hivi[ Ewe mola wetu wa  jaalani haya masanamu mawili ya kiquraish (Abu Bakr na ‘Umar) waovu wawili hawa na matwaghuti(mashetani) mawili haya na pia uwalaani mabinti zao hawa  wawili (Aaisha na Hafsa]. Na dua hiii imo kwenye vitabu vyao zinavyotegemewa. Na alikuwa Imama Khomeini akiisoma kila siku baada ya swalah ya Asubuhi.

 

 

Na imepokewa kutoka kwa Hamza bin Muhammad Atwayyaar alisema  siku moja tulimtaja Muhammad bin Abi Bakr mbele ya Abii Abdillah akasema[Mungu amrehemu Muhammad bin Abi Bakr] kisha akasema siku moja Muhaamad bin Abu Bakr alisema kumwambia amirl muuminin nyoosha mkono wako ni kubaii(kukubali kama khalifa) kisha Amirl muuminin akamuuliza Muhammad bin Abi Bakr kwani hujafanya hivyo mpaka sasa? Akasema sivyo nilisha kukubali siku nyingi, kisha Muhammad bin Abu Bakr akasema: [hakika mimi ninashuhudia ya kwamba wewe ndiye imamu unaewajibika kuitwa kwa kila mtu. Na hakika baba yangu [Abu Bakr] yuko motoni hivi sasa kwa kutokukutambua wewe. Angalia Rijaal Al Kushiy, Uk: 61.

 

 

Ama kuhusu ‘Umar amesema  Niimatullah Al Jazairy, hakika  ‘Umar bin al Khatwaab alikuwa amepatwa na maradhi katika Duburi(njia ya haja kubwa) yake na alikuwa hayatulii maumivu yake isipokuwa kwa maji ya wanaume(yaani manii) kwa maana kwamba yeye alikuwa  akilawitiwa na wanaume wenzake  Angalia Al Anwaar Anuumaaniyat- Juzuu 1  Uk: 63.

Ningependa ufahamu ya kwamba katika mji wa Kashan uliopo katika  jimbo linaloitwa (Baghiy fiin) kuna sehemu inakaburi ambayo inadhaniwa kwamba ni ya  Abii  Luulula Feyruzi Al Farsiy) ambaye  ndiye aliyemuuwa khalifa wa   pili Bwana ‘Umar bin  Al Khatwaab.

Na sehemu hiyo wakaipachikia jina na kuiita [Mapumziko ya shujaa wa diini] na jina hili  walimpachikia huyu jamaa kwa sababu ya kumuuwa ‘Umar bin al khatab. Na isitoshe pia waandika katika kuta za sehemu hizo kwa lugha za kifarsy zenye maana[ Hapa ni mahala pakifo cha Abu Bakr na ‘Umar  na ‘Uthmaan].

Na sehemu hizi wairan huenda wakazizuru mara kwa mara na hutoa sadaka nyingi na michango ya kila aina na sehemu hiyo nimeshaizuru mimi mwenyewe binafsi. Na nikajionea mwenyewe hali  halisi ya mambo.

Na wizara ya ir-shad [uongofu] ya

Iran ilikuwa imeshaanza kupanua sehemu hiyo na kuifanyia ukarabati pamoja na yote hayo wizara hiyo ilikuwa imeshachapishwa kadi ambazo hutumika kwa kutumia barua.

Na imepokea al kulainiy kutoka kwa abi jafar. Hakika ya hawa masheikh wawili yaani [Abu Bakr na ‘Umar] walifariki dunia na wal hawakutubia kwa Allah. [ Walikufa hali yakuwa ni makafiri] na wala  amirl muuminin  hakuweza kuwakumbuka kwa jema lolote lile  walilolifanya basi ni juu yao laana ya Mwenyezi Mungu pamoja na laana ya malaika na ya watu wote. Angalia Raudha Al Kaafiy Juzuu 7

Uk: 246.

Ama kuhusu ‘Uthmaan imepokewa kutoka kwa Ali bin Yunus Al Bayaadhiy anasema kwamba, hakika ‘Uthmaan alikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakichezewa [akilawitiwa] na alikuwa si mwanamume sawasawa [hafai]. Angalia   Al-Swirat Al- Mustaqiim Juzuu   1

Uk: 30].

Na kuhusu Bi Aisha (Radhiya Allaahu ‘anha) amesema ibn Rajab Al Barsiy hakika Bi Aisha alikusanya dinar arubaini kutokana khiana yake. Angalia   Mashaarifu Anwaar Al Yaqin 

Uk:86.] mpaka hapa mimi ninajiulizauliza, ikiwa makhalifa hawa watatu wanasifa kama hizi ,basi ni kwanini Amirl muuminin aliwabaii na ni kwanini walikubali kuwa mmoja wa mwazi wa makhalifa hawa kwa kipindi chote hicho cha ukhalifa wao? Je alikuwa akiwaogopa wao? Haikuwa.

Na isitoshe ikiwa khalifa wa pili ‘Umar alikuwa na ugonjwa katika njia ya haja kubwa na ugonjwa huo hautulii  isipokuwa kwa maji ya wanaume[manii] kama alivyodai  Asayid Al Jazaairiy  na vipi angeweza Amir Al muuminin kumuozesha binti yake Ummu Kulthum kwa mtu kama huyu mwenye sifa mbaya kama hizi?.

Je ugonjwa huu ulikuwa umejificha haukujulikana bali aliutambua huyu Al Jazaairy peke yake? Habari hizi hazihitaji jambo lolote zaidi ya kutumia akili tu si vyenginevyo. Na imepokewa na Al Kulainiy amesema hakika watu wote ni watoto wa zinaa isipokuwa mashia wetu tu. Angalia-Al Raudhat- Juzuu 7

Uk: 135. na kutokana na misimamo kama hiyo waliyokuwa nayo basi wao wamehalalisha damu ya Ahlus Sunnah na mali zao pia ni halali kwa mashia.

Na imepokewa kutoka kwa Dawud bin Farqad alisema nilimuuliza Abii Abdullah  unasema kuhusu kuumuuwa dhalimu [Ahlus Sunnah] akamjibu na kusema kwamba, damu yake ni halali, lakini  mimi ninakuhofia wewe lakini kama  utaweza kumwangushia Ahlus Sunnah ukuta ua ukamgharikisha kwenye maji ili usionekane na watu kwamba umefanya hivyo basi fanya simbaya huna  dhambi. Angalia Bihaar Al Anwaar. Juzuu 27- Uk: 231.

Na maneno haya ameyatilia nguvu na kuyafafanua zaidi al Imama Khomeini kwa kusema kwamba. Na kama utaweza kuchukua

mali yake [Ahlus Sunnah] ichukue kwa njia yeyote ile unayoweza, kisha utuletee khumus yetu na ukishatoa hiyo khumus utakuwa umejitakasa na madhambi.

Na amesema Syyid niimat Allah al Jazairy, aliyekuwa waziri wa Al Rashid bwana Ally bin Yaqtin siku moja aliamuru vijana [wafanyakazi]wake kuvunja dari ya mahabusu [jela] yake ambaye siku hiyo  ilisheheni  watuhumiwa wapatao watu mia tano, wakaangukiwa na dari hiyo wote wakafariki dunia[na hao  watuhumiwa  walikuwa Ahlus Sunnah] Angalia Al Anwar Al Nuuman/3/308.

Na vitabu vya historia vinatusimulia kwa undani zaidi kuhusu vitendo viovu vilivyopita katika mji wa

Baghdad wakati Hulako alipoingia na kuuvamia mji huo. Alifanya mauaji makubwa sana ambayo yasiyoweza kusahaulika katika kumbukumbu za kihistoria.

Kutokana na mauaji hayo ya kumwaga damu tupu kutokana  na wingi  wa vifo vya  watu ambao ndio  Ahlus Sunnah damu  zao zilimiminika katika mto huo na mto ukabadilika ukawa damu tupu.

Na hali hiyo  haikutosha bali ukafanywa uonevu na unyama mwengine pale vilipotupwa vitabu vya Ahlus Sunnah ndani ya mto huo kiasi ambacho mto nao ukabadilika rangi yake na  kuwa  rangi ya bluu kutokana na wingi wa  vitabu hivyo haya ni maonevu waliyotendewa Ahlus Sunnah wa mashia.

Na mauaji yote yalifanywa na mawaziri wawili  katika  utawala wa Al  Abasiyat kwani  mawaziri hawa walikuwa ni mashia nao ni  annuswair Attuusiy na Muhammed Al Qami. Na vilevile walikuwa na uhusiano wa karibu na huyu Hoolakoo muuaji mkubwa.

Hawa hawa ndio waliomsaidia Hoolako kuingia Baghadad na kuuangusha utawala wa Al Abasiyat ambao wao walikuwa ni mawaziri kwenye utawala huo. Pamoja na kwamba wao walikuwa na sauti katika utawala huo lakini hakuiiridhiya hali hiyo pamoja na vyeo vyao hivyo walivyopewa kwani walikuwa na chuki za ndani kwasababu utawala wa Al Abbasiyat ulikuwa unatafuta madhhabu ya Ahlus Sunnah.

 

Na baada ya kuingia Hoolako Baghadad na kuuangusha utawala huo wa Al Abasiya muda mfupi tu hawa mabwana  wawili wakapewa vyeo vya uwaziri tena katika  utawala wa Hoolako pamoja na kwamba Hoolako mwenyewe alikuwa ni mtu wathaniy[asiyekuwa na dini] lakini bali  tatizo ni kuwamaliza Ahlus Sunnah.

Pamoja na hayo yote tunamuona imam khomein anaridhisha na vitendo vya mauaji ya hawa watu Ally Yaqtin na Atuusiy na Al Qamiy na anayazingatia yale waliyoyafanya hawa mabwana ni katika moja ya hujuma kubwa sana katika dini ya kiislamu.

Ninahitimisha mlango huu kwa neno la mwisho ambalo ni neno la Al Sayyid Niimatu Allah Al Jazairy linalohusu hukumu ya Annawaasibu[Ahlus Sunnah] Alisema kwamba hakika ya Ahlususunnah wote ni makafiri na ni najisi kwa ijmaa[itikafi]ya wanazuoni wakishia wote,wanaitikadi kwamba mwanasuni yeyote ni kafiri na ni najisi. Na vilevile Ahlus Sunnah ni waovu kuliko mayahudi na manaswara na miongoni wa alama na dalili za watatu Abu Bakr, ‘Umar, ‘Uthmaan (Radhiya Allaahu ‘anhum) badala ya Ally (Radhiya Allaahu 'anhu) katika uimamu. Angalia- Al Anwar Annuumania Juzuu-2,

Uk: 206-207.

Hivyo ndivyo tunavyoona kwamba hukumu ya shia kwa Ahlus Sunnah inachambulika

kama ifuatavyo:

Ahlus Sunnah wote ni makafiri na ni najisi kuliko nguruwe na ni watu  waovu kuliko mayahudi na manaswara na ni watoto wa zinaa,na inawajibika kuwaua na inafaa kuchukua mali zao.  Yaani shia kuchukua

mali ya Sunni ni halali kabisa wala hilo si kosa.

Na wala haiwezekani kwa mashia na Ahlus Sunnah  kuungana kwa jambo lolote lile, hawawezi kuungana hata wa bwana wa viumbe[Allah] yaani mashia wana Mungu wao na Ahlus Sunnah wana Mungu wao] wala haungani kwa nabii wala Imamu , yaani kila mmoja wao ana nabii wake na wala haijuzu kwa mashia kuwaafiki AhlusSunnah kwa kauli yoyote na kwa tendo lolote lile ni lazima kila mmoja awe kinyume na mwenzake.

Na vile vile ni wajibu kwa kila shia kuwalaani masuni na kuwatukana hasa wale watu waliotutangulia maswahaba ambao Allah aliwasifu katika Qur-ani tukufu,ambao walisimama bega kwa bega na mtume (Subhaanahu wa Ta’ala) katika daawa yake na jihad yake. Hapo niambie ni nani hasa ambaye alikuwa pamoja na mtume katika mapambano [vita] yake yote ambayo alipambana nayo na makafiri.

Kwahiyo kushiriki hawa mabwana watukufu katika vita vyote hivyo pamoja na mtume ni dalili ya wazi kwamba nao walikuwa na imani madhubuti na ya kweli kweli isiyo shaka kwa hiyo mtu hana haja ya kuyaangalia yale wanayosema wanazuoni wetu wa kishia kuhusu  maswahaba wa Mtume.

Na ulipokwisha utawala wa al-Bah-lawiy hapo

Iran kutokana na vuguvugu ya mapinduzi ya kiislamu, na imam Khomein kushika hatamu za uongozi hapo Iran wanazuoni wote wa kishia   walifanya ziara za kwenda kumpongeza imam Khomein kwa Nusra [ushindi] huu mkubwa uliwezesha kusimama dola ya kwanza ya kishia katika zama hizi dola ambayo inayohukumiwa na wanazuoni.

Mimi nilikuwa na wajibu wa kupongeza zaidi kuliko yoyote yule kutokana na mafungamano yangu makubwa na imamu khomein, na  niliizuru

Iran baada ya mwezi na nusu tangu kuingia imam Khomein Tehran tangu kutoka makimbilio kwake huko Paris Ufaransa. Alinikaribisha mara nyingi tu, na ziara zangu mara zote zilikuwa ni za kipekee yangu kinyume na ziara za wanazuoni wengine wa kishia wa nchi ya Iraq.

Na moja kati ya  kikao chetu maalum mimi na imam Khomein alisema kuniambia kwamba Sayyid Hussein, sasa hivi umefika ule wakati wa  kutekeleza wosia wa maimamu (Subhaanahu wa Ta’ala) hivi sasa tutamwaga damu za wanaaswib [Ahlus Sunnah] na tutawauwa watoto wao na tutawaacha hai wake zao wawe vijakazi  wetu.

Na wala hatutamwacha yoyote yule aweze kunusurika na mateso yetu,na mali zao zote zitakuwa ni milki ya mashia wetu, na mali zao zote zitakuwa ni milki ya mashia wa Ahlus bait, na tutafuta Makka na Madina isiwepo hapa juu ya mgongo wa ardhi yaani wataziangamiza hizi[Haram mbili] watazibomoa na kuziteketeza kabisa. Kwasababu miji miwili hii Makkah na Madina ndio kitovu cha mawahabi.

Lengo letu kuu ni kuwa kar-balaa iwe ndiyo ardhi tukufu iliyobarikiwa na iwe ndicho kibla cha watu wote wakati wa swala zao badala ya makkah.na njia hiyo tutakuwa tumezifikia fikra za maimamu wetu (Alayhis Salaam) nahapo itakuwa ile dola yetu ambayo tuliyokuwa tunaipigania kwa muda mrefu imesimama wima na kutoa kilichobakia sasa hivi isipokuwa ni kutekeleza wasia huu tu!!.

Ningependa ufahamu ewe ndugu yangu kwamba chuki za mashia kwa Ahlus Sunnah, ni chuki ambazo zisizokuwa na mfano kabisa.kutokana na chuki hizo ndiyo maana wanazuoni wetu wamejuzisha kuwasingizia uongo Ahlussunnat na kuwapandikiza kila aina ya tuhuma za uongo na kuwasingizia kwa kila ubaya na kuwapa sifa za kila machafu.

Na sasa hivi mashia wote wanawaangalia Ahlus Sunnah kwa jicho la chuki na ubaya hayo yanatokana na maelekezo aliyotolewa na baraza kuu la kishia na vilevile yametolewa maelekezo kwa watu mmoja mmoja kwa jamii yote ya kishia,kwamba ni wajibu kwa kila shia kujiingiza na kujipenyeza kuleta vurugu katika vyombo vya dola na katika taasisi zote sawa ziwe za kiserikali au za kibinafsi na hasa katika sehemu nyeti kama vile jeshini na vyombo vya usalama na ulinzi na sehemu nyingine zote hasa ukizingatia kujiingiza katika mkondo wa vyama vya kisiasa.

 

 

Na mashia wote wanasubiri wakati wa kutangazwa Jihad na kuwaangamiza Ahlus Sunnah, mashia wote wanadhania kwamba kufanya hivyo wao wanakuwa wanawahudumia na kuwatumikia AHLUL BAYT na wanasahau ya kwamba wao wanasukumwa na watu walioko nyuma ya pazia  kwa maslahi yao tu. Na wao hawayatambui hayo, na tutayaonyesha haya katika fasili inayokuja.

 

Share