Maana Ya Azhar

SWALI:

 

Asalam alaikum napenda kuuliza swali nini maana ya AZHAR.

 


 

JIBU:

 

Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.

 

 

Shukrani kwa swali lako kuhusu maana ya Azhar.

Maana yake ni kitu kinachong’aa sana, na pia ‘Azhaar’ ina maana ya maua, na ‘Zahrah’ ni ua. Na ni jina linalotumiwa na wanaume na wanawake.

 

Na Allaah Anajua zaidi

 

Share