Mke Kukutana Na Mume Baada Ya Eda
SWALI:
Je inaruhusiwa mume akishamtaliki mkewe talaka moja kukutana nae ilikutafuta njia ya maelewano hata
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Ndio mke anaruhusiwa kukutana na mtalaka wake baada ya Idda ya talaka ya kwanza kumalizika. Bali ni jambo zuri kutafuta maslahi na kupatana, lakini mkutano huu haufai kuwa wa faragha yaani wao wawili peke yao, kwa sababu wao sasa ni ajnabi
Maalik amesema, “Mwanamke wakati mwengine hula na mumewe na watu wengine wanaokula na mumewe au na kaka zake kwa njia hiyo hiyo. Lakini haifai kabisa kwa mwanamke kuwa peke yake na mwanamume ambaye hana uhusiano wa kidamu, kindoa au kunyonya pamoja kitu ambacho kitamfanya mwanamume asiweze kumuoa kisheria". Amesema Mtume Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam: “Hakutani mwanamume na mwanamke peke
Zipo njia ambazo mwanmke anaweza kuzitumia kisheria ili kupata upatishi huo baada ya Iddah
Kujipamba inatakiwa kabla ya idda kumalizika, ama ikimalizika hairuhusiwi tena kwa sababu
Na Allaah Anajua zaidi